Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus.
Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, kama ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali [acid] itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.
Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine kama kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.
AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO
Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo [Peptic Ulcers]
[1] Vidonda vya tumbo kubwa - Gastric ulcers.
---Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa
[2] Vidonda vya utumbo mdogo -Duodenal ulcers
---Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo [hasa juu] duodenal-ulcer
CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo wa chakula, vyanzo hivyo ni;
>>Bakteria waitwao Helicobacter pylori [H. pylori]
>>Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu kama asprin,[NSAIDs, Advil, Aleve, na zingine]
>>Kuwa na mawazo mengi
>>Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
>>Kunywa pombe na vinywaji vikali
>>Matumizi ya mihadarati sigara,mirungi na jamii yote ya mihadarat
>>Kuto kula mlo kwa mpangilio
>>Uzito kupita kiasi
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili kama
>>Kuchoka choka sana bila sababu maalum
>>Kuuma mgongo au kiuno
>>Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia
>>Kizunguzungu
>>Kukosa usingizi
>>Usingizi wa mara kwa mara
>>Maumivu makali sehemu ya mwili
>>Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali.Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali
>>Kichefuchefu
>>Kiungulia
>>Tumbo kujaa gesi
>>Tumbo kuwaka moto
>>Maumivu makali sehemu kilipo kidonda
>>Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi
>>Kutapika nyongo
>>Kutapika damu au kuharisha
>>Sehemu za mwili kupata ganzi
>>Kukosa hamu ya kula
>>Kula kupita kiasi
>>Kusahahu sahau na
>>Hasira bila sababu.
JINSI YA KUEPUKANA NA VIDONDA VYA TUMBO
>>Kunywa maji mengi
>>Punguza mawazo
>>fanya mazoezi yatakupunguza na mawazo
Punguza
>>Balansi kiwango cha halemu - choresterol
>>Usivute sigara
>>Punguza au acha kunywa pombe
>>Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
>>Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9
VITU VYA KUEPUKA KWA MWENYE VIDONDA VYA TUMBO WAKATI ANATUMIA DAWA AU KAMA BADO HAUJAPATA DAWA YA [vidonda vya tumbo]
>>Epuka Chumvi nyingi kwenye mlo
>>Epuka Mafuta mengi kwenye mlo
>>Epuka kula Nyama nyekundu (Ng`ombe, Mbuzi , Kondoo n.k)
>>Epuka matumizi ya Tangawizi, pilipili manga
>>Epuka kula Nanasi ,Fenesi
>>Epuka kunywa Maziwa
>>Epuka kula Machungwa ,Limao ndimu
>>Epuka kula Maharage na vyakula vyote unapokula tumbo linajaa gesi viepuke.
>>Epuka Kutafuna gum, [Big G bablish,ballgum, pk n.ka]
>>Epuka ugali wa sembe
VITU VYA KUACHA KABISA
>>Acha kunywa Pombe
>>Acha Kunywa Soda [Carbonated beverages].
>>Acha kuvuta Sigara
>>Acha kula miraa
TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO
Tatizo la Vidonda vya tumbo linatibika kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakizalau dalili za vidonda vya tumbo na kudhani kuwa hakuna madhara makubwa.DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO
Tuna dawa ya kutibu Vidonda vya tumbo ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Dawa hiyo hutibu kwa mda kulingana na mda wa tatizo, tatizo halirudi tena maana huondoa chanzo pamoja na ugonjwa sio kituliza maumivu
>>pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.
TUPIGIE [CALL US] BOFYA NAMBA HII >>>0713328292
No comments:
Post a Comment